top of page

Taifa Stars News

Kikosi cha timu ya Tanzania U17 ’Serengeti Boys’ kimeonyesha kinaweza kwa mara ya pili baada ya kuitwanga Misri kwa mabao 3-2.

 

Katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, Serengeti Boys walionyesha soka safi na la ushindani.

 

 

Katika mechi ya awali, Serengeti Boys waliwatwanga Misri kwa bao 2-1, leo wakataka kujiuliza na kukutana na kipigo hicho kikubwa zaidi.

 

Kocha, Bakari Shime, imepata ushindi wa mabao 3-2 yaliyofungwa na Ibrahim Abdallah aliyefunga mara mbili dakika za 28, 60 na Boko Seleman aliyepasia nyavu dakika ya 36.

 

 

Mabao ya The Pharaohs yaliwekwa kimiani na mshambuliaji wake, Ahmed Saad dakika 22 pamoja na mtokea benchi, Diaa Wahid aliyefunga kwenye dakika 74.  

 

 

 

Mechi hiyo ilikuwa na ushindani kwa pande zote mbili ambapo Serengeti wao walitawala kwenye kipindi cha kwanza huku Misri wakichukua nafasi kipindi cha pili.

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania inassociation football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania. Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and their head coach is Mart Nooijfrom the Netherlands. Tanzania has never qualified for the World Cup finals. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team.

The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

 

 

 

 

Copyright on 2015 by Tanzania

Proudly created by R.A

bottom of page